BARCELONA imevuliwa taji la Ligi ya Mabingwa Ulaya baada ya kufungwa mabao 2-0 na Atletico Madrid, zote za Hispania usiku huu Uwanja wa Vicente Calderon mjini Madrid.
Atletico Madrid wanasonga mbele kwa ushindi wa jumla wa 3-2 baada ya awali kufungwa 2-1 Uwanja wa Camp Nou, Barcelona.
Mabao yote ya timu ya Muargentina Diego Simione leo yamefungwa na Antoine Griezmann dakika ya 36 na lingine kwa penalti dakika ya 88.
Lionel Messi (kushoto) akiwania mpira dhidi ya beki wa Atletico Madrid, Lucas
Bayern Munich imefakiwa kwa mbinde kwenda Nusu Fainali baada ya kuitoa Benfica kwa ushindi wa jumla wa 3-2 baada ya sare ya 2-2 leo Uwanja wa Luz.
Mabao ya Benfica yamefungwa na Raul Alonso Jimenez Rodriguez dakika ya 27 na Anderson Souza Conceicao dakika ya 76, wakati ya Bayern iliyoshnda 1-0 katika mchezo wa kwanza nyumbani wiki iliyopita, yamefungwa na Arturo Vidal dakika ya 38 na Thomas Muller dakika ya 52.
Arturo Vidal (katikati) akipongezwa na wachezaji wenzake wa Bayern Munich baada ya kufunga
Atletico Madrid na Bayern Munich zinaungana na Real Madrid ya Hispania na Manchester City ya England katika Nusu Fainali, ambayo droo yake itapangwa Ijumaa.
Cristiano Ronaldo dos Santos Aveiro aliipeleka Real Madrid Nusu Fainali jana kwa mara ya sita mfululizo baada ya kufunga mabao matatu yake, ikishinda 3-0 Uwanja wa Santiago Bernabeu mjini Madrid dhidi ya Wolfsburg ya Ujerumani.
Real imesonga mbele kwa ushindi wa jumla wa 3-2 baada ya wiki iliyopita kufungwa 2-0 Ujerumani na Ronaldo alifunga mabao yake katika dakika za 15, 17 na 77 na kufikisha mabao 46 msimu huu kwenye mashindano yote.
Kevin de Bruyne naye alifunga bao pekee dakika ya 14 Uwanja wa Etihad jana na kuipeleka Manchester Nusu Fainali kwa mara ya kwanza katika historia yao kufuatia ushindi wa 1-0 dhidi ya PSG.
City imesonga mbele kwa ushindi wa jumla wa 3-2 baada ya wiki iliyopita kulazimisha sare ya 2-2 mjini Paris. Sasa, kocha Manuel Pellegrini anaweza kukutana na mrithi wake mwishoni mwa msimu, Pep Guardiola baada ya Bayern Munich pia kuingia Nusu Fainali.

ABOUT BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE
Bin Zubeiry loves sports, he gives viewers an inside look at the world of sports. In his spare time, Bin Zubeiry enjoys watching news, checkers, music, and playing football.
MISIMAMO LIGI MBALIMBALI
- MSIMAMO LA LIGA- HISPANIA
- MSIMAMO LIGI KUU- ENGLAND
- MSIMAMO BUNDESLIGA- UJERUMANI
- MSIMAMO SERIE A- ITALIA
- MSIMAMO LIGUE 1- UFARANSA
- MSIMAMO LIGI KUU YA VODACOM- TANZANIA
- RATIBA MICHUANO MBALIMBALI DUNIANI WIKI HII
- MATOKEO MICHUANO MBALIMBALI DUNIANI WIKI HII
- FUATILIA MATOKEO YA MECHI MBALIMBALI ZINAZOENDELEA HIVI SASA DUNIANI
ANGALIA AZAM TV HAPA
- Popular Post
- Video
- Category
- FUFA Big League: Shaban nets brace to send warning to Rwanda’s U-20 - Uganda U-20 striker Shaban Muhammad netted a brace in Onduparaka’s 4-0 win over Bukedea Town Council ion the FUFA Big League match played on Thursday. Shab...17 minutes ago
- Amir Khan shows off swollen physique in training video as he bulks up to face 'Canelo' Alvarez in Las Vegas - Amir Khan is certainly looking pumped up for his battle with Saul 'Canelo' Alvarez next month as he looks to pile on muscle to match his bigger opponent fo...42 minutes ago
- Minnaert: I will not sign any new face who featured for Ingwe against U20 team - AFC Leopards’ Head Coach Ivan Minnaert has explained that the new player seen playing for the Big Cats against Kenya under 20 team on Thursday 14 April at ...45 minutes ago
- MARCUS RASHFORD ALIITOSA LIVERPOOL NA KUJIUNGA NA MANCHESTER UNITED -Marcus Rashford alikataa kujiunga na Liverpool na kuamua kujiunga na Manchester United wakati alipokuwa na umri wa miaka saba. Rashford mwenye umri wa mia...1 hour ago
- PHIRI KAMA MAYANJA, AMTIMUA KIBOPILE KWA UTOVU WA NIDHAMU - *Na Sheila Ally* *KOCHA Mkuu wa Mbeya City, Kinnah Phiri amemwondoa kikosini beki wake Hamad Kibopile kwa kosa la utovu wa nidhamu na kumtaka arejee kikosi ...2 hours ago
- RAIS DKT. JOHN POMBE MAGUFULI APOKEA HATI ZA UTAMBULISHO WA MABALOZI KUTOKA NCHI MBALIMBALI IKULU JIJINI DAR ES SALAAM APRIL13, 2015 - Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akipokea Hati ya Utambulisho kutoka kwa Balozi Mteule wa nchi ya Jamhuri ya Czech hapa nc...12 hours ago
- AZAM
- BIN ZUBEIRY
- CHAN
- HABARI MOTOMOTO
- HABARI PICHA
- HABARI ZA AFRIKA
- HABARI ZA AFRIKA MASHARIKI
- HABARI ZA KIMATAIFA
- HABARI ZA NYUMBANI
- HABARI ZA ULAYA
- HABARI ZILIZOWEKWA HIVI KARIBUNI
- KOMBE LA CHALLENGE 2015
- KOMBE LA KAGAME
- KOMBE LA MAPINDUZI
- KOMBE LA TFF
- LIGI KUU BARA
- MAKALA
- MAKTABA YA BIN ZUBEIRY
- MATOKEO NA RATIBA MICHUANO MBALIMBALI DUNIANI
- MBEYA CITY
- MBWANA SAMATTA
- MICHEZO MINGINE
- MRISHO NGASSA
- MTIBWA SUGAR
- NDONDI
- SANAA NA BURUDANI
- SIMBA
- TAIFA STARS
- TANZIA
- TFF
- THOMAS ULIMWENGU
- TWIGA STARS
- YANGA
ZILIZOSOMWA ZAIDI WIKI HII
- Na Mwandishi Wetu, DAR ES SALAAM KOCHA wa Simba, Jackson Mayanja sasa ameingia kwenye ugomvi mkubwa na Mganda mwenzake, mshambuliaji Hamis...
- Na Saada Mohammed, DAR ES SALAAM NDOTO za Simba SC kurejea kwenye michuano ya Afrika mwakani zimyeyuka kwa asilimia kubwa leo, baada ya ku...
- Suruali ya kocha wa Real Madrid, Zinadine Zidane ikiwa imechanika usiku wa jana wakati akishangilia ushindi wa 3-0 dhidi ya Wolfsburg y...
- Na Saada Mohammed, DAR ES SALAAM YANGA SC imeendeleza wimbi la ushindi katika mashindano ya nyumbani baada ya ushindi wa mabao 2-1 dhidi y...
- YANGA imeiuzia Azam TV haki za kurusha mechi ya kwanza ya hatua ya 16 Bora Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya Al Ahly ya Misri kesho Uwanja...
- Na Princess Asia, DAR ES SALAAM MAOFISA wawili wa benchi la Ufundi la timu ya taifa ya Misri wanatarajiwa kuwasili nchini wakati wowote kw...
IDADI YA WASOMAJI
53419317
GOOGLE+ FOLLOWERS
Copyright © 2016 BIN ZUBEIRY SPORTS- ONLINEDeveloped by MKCT
No comments:
LINKS TO THIS POST