Mshambuliaji Gareth Bale (kulia) akishangilia na wachezaji wenzake wa Real Madrdi, Karim Benzema na Cristiano Ronaldo baada ya kufunga bao la tatu katika ushindi wa 4-0 dhidi ya Sevilla usiku huu Uwanja wa Santiago Bernabeu katika mchezo wa La Liga. Mabao mengine ya Real yamefungwa na Karim Benzema, Cristiano Ronaldo na
Jese Rodriguez Ruiz. Ronaldo alikosa penalti pia sawa na Kevin Gameiro wa Sevilla
0 maoni:
Chapisha Maoni