Alhamisi, 3 Machi 2016

AZAM FC 'WALIVYOWAPASHIA' YANGA SC CHAMAZI LEO

Kocha wa Azam FC, Muingereza Stewart Hall akitoa maelekezo kwa wachezaji wake wakati wa mazoezi leo asubuhi Uwanja wa Azam Complex, Chamazi, Dar es Salaam kujiandaa na mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara dhidi ya Yanga SC Jumamosi Uwanja wa Taifa, Jijini
Stewart aliwapa maelekezo tofauti wachezaji wake kuelekea mchezo wa Jumamosi
Kocha wa makipa, Iddi Abubakr akitoa maelekezo kwa vijana wake
Anayepiga mpira ni kiungo Salum Abubakar 'Sure Boy' ambaye yuko vizuri kuelekea mchezo huo
Kipa Mwadini Ally akidaka mpira mazoeini leo Chamazi
Anayepiga mpira ni Nahodha John Bocco 'Adebayor' ambaye yuko fiti kabisa kuelekea mchezo wa Jumamosi
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

0 maoni:

Chapisha Maoni

Item Reviewed: AZAM FC 'WALIVYOWAPASHIA' YANGA SC CHAMAZI LEO Description: Rating: 5 Reviewed By: Unknown
Scroll to Top