Jumamosi, 20 Juni 2015

MAANDALIZI YA LIGI DARAJA PILI YAANZA MKOANI SINGIDA

Hamisi Kitila(Mjumbe wa Mkutano Mkuu TFF)  katibu wa shirikisho la mpira wa miguu katika halmashauli ya Singida na mlezi wa wachezaji wa timu ya mkoa wa Singida amesema kuwa june 21-2015 kutakuwa na mchezo wa kirafiki na timu ya Singida United na timu ya mkoa wa Singida kwajili ya maadalizi ya wakilishi wa mkoa katika lingi daraja la pili ambao ni Singida United. 
Mlezi wa  timu ya mkoa  Bw. Kitilla ameeleza kuwa wachezaji watakoa shiliki katika mchezo huo Huriku A Huriku,Abrahamani Mundere,Hamisi Chaila,Saidi Msunga,Baraka Pipi,Yahaya Ramadhani,Iddi Matiz,Msengi Kapera, Adofuu K  Adofu,Muna Muna Song Songa,Babu White,Mikidadi Mwale Husseni,Hamisi Hamis Swai Ally,Abdul Bandola,Maulid Okwi,Shabani Mangua,Omary Mgosi,Abdalla Nyanda Yohana.
Mchezo huo utachezwa katika Dimba la Namfua
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

0 maoni:

Chapisha Maoni

Item Reviewed: MAANDALIZI YA LIGI DARAJA PILI YAANZA MKOANI SINGIDA Description: Rating: 5 Reviewed By: Unknown
Scroll to Top