Ni
Tukio la kuskitisha sana ktk kijiji cha songambele wilayan MLELE mkoan
KATAVI watu wasiofahamika wamemvamia mwenyekiti wa kijiji cha songambele
na kisha kutenganisha kichwa na kiwiliwili na pia sehemu zake za siri
na kisha kukata mkono wake mara mbili baada ya kufanya kitendo hicho
walichukua viungo walivyokata kutoka kwa mwenyekiti huyo na kisha
kuvitia kwenye sifuria wakaweka maji na kisha kubandika kwny moto n
kuanza kuvipika baada ya Tukio Hilo watu hao walitokomea sehemu
isiyofahamika polisi wilayan MLELE wanaendelelea n uchunguz kubaini
wahusika wa tukio Hilo. Tukio Hilo limetokea leo majira ya saa saba ucku
hayo ndo yaliyojir wilayan kwetu MLELE
Jumapili, 25 Januari 2015
- Blogger Comments
- Facebook Comments
Jisajili kwenye:
Chapisha Maoni (Atom)
0 maoni:
Chapisha Maoni