Naibu Waziri wa Fedha Mwigulu Nchemba akiongea na
waandishi wa habari (hawapo pichani) wakati alipokuwa akifafanua juu ya malipo
ya mishahara ya watumishi yaliyofanyika mwezi Julai mwaka huu leo jijini Dar es
salaam ambapo ameonya mamlaka husika ziwe na taarifa sahihi za idadi ya
watumishi ili kuondoa makosa ya kulipa mishahara hewa, endapo kutatokea makosa
ya ulipaji wa mishahara hewa watachukuliwa hatua za kisheria na kufikishwa
mahakamani.
Home
>
Untagged
0 maoni:
Chapisha Maoni