Jumamosi, 30 Agosti 2014

MUUMINI WA KANISA LA GWAJIMA AKUTWA AMEKUFA GESTI HOUSE


MAMA MMOJA MMUMINI WA KANISA LA NGWAJIWA AFIA GEST AKIWA KWENYE MAOMBI NDANI YA KANISA HILO KAWE DAR -ES-SALAAM.



MAMA HUYO AMBAYE ALIFAHAMIKA KWA JINA MOJA TU LA EVELIINA,
INASEMEKANA ALIKUWA AKIPOKEA MAOMBI KANISASNI HAPO NA KUISHI KATIKA VIWANJA VYA KANISA HILO KAWE DSM
BAADA YA KUZIDIWA WAUMINI WALIAMUA KUMKODESHEA CHUMBA MAYFEAR GUEST ILIYOPO KAWE 
NA KUFARIKI USIKU WA KUAMKIA JANA
POLISI WALIFIKA ENEO LA TUKIO NA MPAKA SASA UCHUZI ZAIDI UNAENDELEA.




TANURU LA FIKRA LILISHUDIA TUKIO HILO NA PIA KUONGEA NA MMILIKI WA GUEST HIYO BWANA TESHA.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

0 maoni:

Chapisha Maoni

Item Reviewed: Description: Rating: 5 Reviewed By: Unknown
Scroll to Top