HIKI NDO KILICHOMKUTA MSANII LORD EYEZ UKO ARUSHA.
Msanii lord Eyz amekamatwa na mpaka sasa anashikiliwa na jeshi la polisi mjinu arusha baada ya kuhusishwa na wizi wa kuvunja milango ya gari la mtu uko arusha.baada ya tukio ilo msanii uyo ameadhibiwa na kampuni yake ya weusi kwa kutengwa kwa muda nakundi ilo mpaka atakapojirekebishaa.
0 maoni:
Chapisha Maoni