TAZAMA PICHA YA ASKARI POLISI 5 WALIOFARIKI KATIKA AJALI YA GARI WAAGWA JANA MKOANI DODOMA TAYALI KWA MAZISHI
Miili ya Askari Polisi waliofariki katika ajali ya gari ya kugongana uso kwa uso na basi la Mohamed Trans.Kamanda wa Polisi Mkoa wa Dodoma,Kamishna Msaidi Mwandamizi wa Polisi DAVID MISIME akizungumza kwa Masikitiko wakati wa kuaga miili ya Askari Polisi waliofariki katika ajali ya gari.
Miili ya Askari Polisi waliofariki katika ajali ya gari ikiwa imebebwa.
Askari
Polisi waliofariki katika ajali ya gari ya kugongana uso kwa uso na
basi la Mohamed Trans wameagwa leo Mkoani Dodoma tayari kwa mazishi.
Akiongea
kwa masikitiko Kamishna Msaidi Mwandamizi wa Polisi DAVID MISIME
amewashukuru watu waliojitokeza kuungana pamoja kuaga miili ya Askari
hao.
0 maoni:
Chapisha Maoni