Pichaz za uwanja wa ndege wa Tabora baada ya mvua kunyesha

Abiria waliokuwa wakisafiri kutoka Kigoma kuja Dar es salaam kupitia Tabora walilazimika kukaa zaidi ya sa moja na nusu kusubiri mvua kubwa iliyokuwa ikinyesha Tabora,Hizi ni baadhi ya picha za uwanja wa ndege wa Tabora na jinsi mvua ilivyokua inanyesha.
baada ya mvuu kali kumalizika tayarzaidi ya saa mmoja limemalizika wasafikr waanza kupanda ndee kuelekea dar es salam hiyo ni mkolani tabora katika uwanja wa dege mkoani hapo.
0 maoni:
Chapisha Maoni