M.F.B Moja ya kundi la wanamusic wa kizazi kipya kutoka
tTanzania wanaofanya vizuri katika redio tofauti tofauti ndani na nje ya
nchi ya Tanzania.
Cheki nembo mojawapo ya MFB ukweri mtupu akisema meneja wa
kundi hilo Bw. Mundele
Meneja amethibisha kuwa kundi hilo linanidhamu ya hali ya
juu kitendo kinacho mpa matumaini ya kufanya vema na kutimiza malengo
walijiwekea katia swala zima la music katika maisha na jamii kwa ujumla.

Now wanakuja na ngoma mpya ya kumdi kutoka MFB kwa jina wansena
inaitwa tuzichape sasa kwa mujibu wa meneja wa kundi hilo Bw, Abrahamani
Mundele ameeleza kuwa ngoma iko tayari .
0 maoni:
Chapisha Maoni