Jumapili, 13 Oktoba 2013

MCHEZAJI WA KIMATAIFA ATHUMANI IDD CHUJI.

Ambaye kwa sasa baadhi ya makocha nchini tanzania wamenukiliwa wakisema kuwa nafaa kuwa mfano wa wachezaji wanao chipukia ilikuweza kuwa na timu ya taifa bora kwani mchezaji silaha yake kubwa ni nihamu.

Chuji ambaye mika mitano iliyopita alinukuliwa kuwa mtovu wa nidhamu katika mechi mbali mali tanzani kituambacho kwa sasa kocha wa mtibwa suger ameeleza kuwa anfaa kupewa uchezij bora kwa nidhamu anyo onyesha akiwa kiwanjani.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

0 maoni:

Chapisha Maoni

Item Reviewed: Description: Rating: 5 Reviewed By: Unknown
Scroll to Top