cheki habari za elimu yetu
Mtoto Alvin Mushi (12) akitoa heshima za mwisho kwa
mwili wa bibi yake, Anastazia Saro ambaye aliuawa juzi kwa kupigwa risasi tano
na baba wa mtoto huyo, aliyejiua pia baada ya mauaji hayo na kumjeruhi mama
yake mzazi, Ufoo Saro aliyelazwa Muhimbili kwa matibabu. (Picha na Mroki Mrok
0 maoni:
Chapisha Maoni