Jumatano, 24 Septemba 2014

VIONGOZI CHADEMA DODOMA WAFIKISHWA MAHAKAMANI WAACHIWA KWA DHAMANA

VIONGOZI CHADEMA DODOMA WAFIKISHWA MAHAKAMANI WAACHIWA KWA DHAMANA

 Mkuu wa kitengo cha sheria CHADEMA, Tundu Lisu, (Katikati), akiongozana na washtakiwa kwenye kesi ya kukusanyika isivyo halali wakati wakitoka mahakama ya wilaya ya Dodoma Jumanne Septemba 23, 2014. Lisu ambaye alikuwa akiwatete washtakiwa hao ambao baadhi yao ni viongozi wa chama hicho mkoani Dodoma, alisema, walishtakiwa kwa kosa la kukusanyika isivyo halali hapo Septemba 18, mwaka  huu,wiki iliyopita na waliachiwa huru kwa dhamana.
Lisu akiongozana na washtakiwa wakati wakitoka mahakani hapo, Jumanne Septemba 23, 2014
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

0 maoni:

Chapisha Maoni

Item Reviewed: VIONGOZI CHADEMA DODOMA WAFIKISHWA MAHAKAMANI WAACHIWA KWA DHAMANA Description: Rating: 5 Reviewed By: Unknown
Scroll to Top