Jumamosi, 20 Septemba 2014

 Msimamizi wa lingi ya Ngombe katika kata ya mitunduruni Mkoani Singida kwa udhamini wa Jeshi la polisi mkoani Singida akielezea na kutowa ufafanuzi baada ya Lingi hiyo kumalizika mbele ya viongozi mbali mbali wa vilabu shiliki na uongozi kutoka jeshi la polisi mkoani Singida.
 Nahodha wa Caubell Fc Mkimbi(JEVO) akikabidhiwa Ngombe myana na mgeni rasimi baada ya kushinda na kuwa bingwa katika mashindano hayo ya kuhamasisha vijana kujikita katika michezo ilikuepuka kuwa na makundi ambayo ni hatarisha kwa jamii na tifa kwa ujimla.(JEVO.86)
 Caubell wakishangilia na kumkibiza ngombe katika jukwa lao walikuwa wakipendelea kukaa wakati wa mechi zao zote katika mashindano hayo.
Caubell Fc ambayo  chini ya kochi ambayo ni moja ya masitraka wa zuri kutokea mkoani Singida Bw. Msengi (SEKA) Kocha ambaye ameonyesha uhadali katika mashindano hayo na kutoa ubingwa na kuwa kocha bora wa mashindano hayo. 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

0 maoni:

Chapisha Maoni

Item Reviewed: Description: Rating: 5 Reviewed By: Unknown