Wachezaji
wa Mbeya City wakijadiliana jambo uwanjani.
Kocha wa timu hiyo, Juma
Mwambusi amesisitiza anataka timu hiyo iliyoko kwenye nafasi ya tatu
katika msimamo wa ligi, ikae kileleni japo kwa muda mfupi ili kupandisha
morali ya wachezaji kufanya vizuri zaidi katika mechi zijazo. Kocha
huyo anaamini kwamba kikosi chake hakitaporomoka tena kurejea kwenye
nafasi za chini kwavile wameshakaa vizuri ingawa baadhi yao wanakosa
uzoefu.
0 maoni:
Chapisha Maoni