Jumanne, 15 Oktoba 2013








Unaambiwa karibu kabisa na uwanja wa soka unaomilikiwa na club ya Manchester United ndio kuna barabara imepewa jina la Sir Alex Ferguson ambapo imefunguliwa rasmi na imepewa hilo jina kutokana na heshima aliyopewa Sir Alex na Trafford Council kutokana na mchango wake.

Sir Alex ambae ameshinda makombe nearly 40 kwenye miaka 26 aliyofanya kazi na kuwa kocha wa club ya Manchester United, alialikwa pia kwenye hili tukio la kutambulishwa rasmi kwa barabara yenye jina lake ambapo mwanzoni ilikua inaitwa Water’s Reach.

Namkariri Sir Alex akiongea baada ya tukio….. ‘Nilipowasili Old Trafford mwaka 1986 nilikua na idea ndogo kuhusu safari yangu, over quarter of a century later to receive the Freedom of the Borough of Trafford na kuwa na sehemu ya Trafford iliyo na jina langu ni heshima kubwa, nimefurahi na kushukuru’
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

0 maoni:

Chapisha Maoni

Item Reviewed: Description: Rating: 5 Reviewed By: Unknown
Scroll to Top